Matthew 27:29-31

29 awakasokota taji ya miiba, wakaiweka kichwani pake. Wakamwekea fimbo katika mkono wake wa kuume, na wakapiga magoti mbele zake na kumdhihaki, wakisema, “Salamu, mfalme wa Wayahudi!” 30 bWakamtemea mate, wakachukua ile fimbo wakampiga kichwani tena na tena. 31 cBaada ya kumdhihaki, wakamvua lile joho, wakamvika tena nguo zake. Kisha wakampeleka ili wakamsulubishe.

Isa Asulubishwa

(Marko 15:21-32; Luka 23:26-43; Yohana 19:17-27)

Copyright information for SwhKC